Borussia Dortmund FC Thread

robertlewandowskigoaltworeal_640x360.jpg
Robert Lewandowski 4 Real 1
 
Wajerumani wanasema wao ndo Super race yaani wazungu halisi, wanawanganga sana waingereza eti watu wa visiwani. Mjerumani hatengenezi famba baba, si mshabiki wa timu za ujerumani ila wakiwa fiti wanakuwa fiti kweli! Bundesliga ndo ligi inayotengeneza FAIDA kuliko ligi zote ulaya! hakika fainali ya mwaka huu sitakuwa na presha yoyote maana hakuna timu kati ya hizi mbili nnayoipenda.
 
Mkuu Ligi Zitaanza Na Thread Itakuwa Active Kwa Updates Tele Kuhusu Chama Hilo
Tatizo Jezi Zao Mbaya Sana Hasa Rangi Ya Njano!!
 
....kumbe huu uzi upo hapa toka 2012!, Borussia timu kubwa inakuaje haina wanazi!, au sababu ipo Ujerumani....anyway hata Bayern Munich sijui km ina uzi huku!
 
Back
Top Bottom