Naikubal sanaHii timu yangu ni kama Arsenal tu
kwa sasa umejua ni ya wapi?ni ya wapi na msimamo inasomeka vipi?
Hii mech madrid hawawez kusahauView attachment 91429
Robert Lewandowski 4 Real 1
Uzi unawasubirMkuu Ligi Zitaanza Na Thread Itakuwa Active Kwa Updates Tele Kuhusu Chama Hilo
Tatizo Jezi Zao Mbaya Sana Hasa Rangi Ya Njano!!
Timu Haina mashabiki bongo hiyoUzi unawasubir
Huku kwetu tupo wa kutosha lakn kinachozba watu midomo hawajachukua ubingwa mda mrefu msimu juzi ilikuwa kidogo achukueTimu Haina mashabiki bongo hiyo