Amesema wakishavaa hijab wana kuwa kama masanduku ya kuoistua barua au wezi wa benki
Bifu, usikimbieAmesema wakishavaa hijab wana kuwa kama masanduku ya kuoistua barua au wezi wa benki
Sidhani kama Johnson alikuwa na nia ya kukashif uvaaji huu. Nia yake ilikuwa kuweka msisizo kwa kile alichoandika gazetini.okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, inapendeza, wapo wanaomtetea Boris Johnson.
Utamaduni wa Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, kwa hiyo tusilazimishe matamaduni ya kigeni kwa wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.
hakuna mahala Quran Takatifu takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka
in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam....
kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...
facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...
Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amesema wakishavaa hijab wana kuwa kama masanduku ya kupostia barua au wezi wa benki
Kwa Sheria za wenzetu wanaojitambua, kaingilia Uhuru na Imani ya watu, wanamuwajibisha, unasemaje mkuu!!!? Kwa wenzetu kuomba samahani hadharani wanakuwa wamekurudisha hatua 100 nyuma kisiasa, unawekwa kundi la "Waropokaji"okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.
tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.
hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka
in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam.
kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...
facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...
Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
Kwa Sheria za wenzetu wanaojitambua, kaingilia Uhuru na Imani ya watu, wanamuwajibisha, unasemaje mkuu!!!?
Sidhani kama Johnson alikuwa na nia ya kukashif uvaaji huu. Nia yake ilikuwa kuweka msisizo
Kwa muda mrefu sana Waingereza wamejaribu kujenga jumuia ya watu kuishi bila kubughudhi jadi na imani ya mtu. Hii ni pamoja na menu za mashuleni, hospitali na bungeni kujumuisha vyakula vya Caribbean, curry ya Wahindi na vyakula vyao Waingereza kama shepherds pie, fish and chips etc.Imani gani, ya kipagani?
Quran Takatifu haijasema popote wanawake wavae hijab, niqab wala burka
In fact, Quran Takatifu haijasema lolote kuhusu mavai ya muislam period!
Unaweza kuvaa ki-mini na ukawa hujavunja matakwa ya Quran Takatifu.
Kwa hiyo let us not conflate imani na utamaduni
Utamaduni wa Muingereza haukubaliani na kumfunika mwanamke gubigubi. Kwa wao, burka wanaliona kwa waporaji mabenki.
Imani ya mtu Ni Imani, iwe ya kipagani iwe ya Nini, Ni Imani....sidhani Kama wewe unaijua vizuri uingereza kuliko consevertive wenyewe wanaotaka kumwajibisha kwa kukiuka misingi na miongozo yao ya Uhuru na haki ya kila raia wa nchi hiyo inayowaongoza.....sio kila ustaarabu lazima uandikwe vitabuni, Kama ulivyo utawala wa kifalme wa uingereza hauko vitabuni....lakini Ni ustaarabu wao waingereza kuutukuza utawala huo Karne na karne.....kakiuka misingi na utamaduni wa Mwingereza, "Kuheshimu Uhuru wa mwingine"lazima awajibike, Sasa wewe unayetaka kuliona Hilo andiko la hijabu kitabuni endelea kulitafuta.....Imani gani, ya kipagani?
Quran Takatifu haijasema popote wanawake wavae hijab, niqab wala burka
In fact, Quran Takatifu haijasema lolote kuhusu mavai ya muislam period!
Unaweza kuvaa ki-mini na ukawa hujavunja matakwa ya Quran Takatifu.
Kwa hiyo let us not conflate imani na utamaduni
Utamaduni wa Muingereza haukubaliani na kumfunika mwanamke gubigubi. Kwa wao, burka wanaliona kwa waporaji mabenki.
duh! kumbe..okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.
tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.
hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka
in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.
kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...
facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...
Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
Sasa kama si kashfa kwanini anatakiwa aombe msamaha hadharani?but you said as much.
kichwa cha thread "Johnson akashifu wanawake wavaa hijab"
kumbe umepotosha umma.
hakuna popote pengine kuna taarifa hiyo
ilikuwa ni tafsiri na mawazo yako wewe ambayo kumbe huyaamini tena, sasa futa kauli yako na omba msamaha
Akikujibu uni-tag mkuu....Sasa kama si kashfa kwanini anatakiwa aombe msamaha hadharani?
Kwa muda mrefu sana Waingereza wamejaribu kujenga jumuia ya watu kuishi bila kubughudhi jadi na imani ya mtu. Hii ni pamoja na menu za mashuleni, hospitali na bungeni kujumuisha vyakula vya Caribbean, curry ya Wahindi na vyakula vyao Waingereza kama shepherds pie, fish and chips etc.
Kaka hivi unapata wapi ujasiri wa kuongea juu ya Uislamu au kuna faida yoyote unayoipata ?okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.
tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.
hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka
in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.
kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...
facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...
Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
Surat al- Ahzaab : 59 na an-Noor : 31okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.