Bora uke/uume unyofolewe roho isalimike uingie katika uzima

Bora uke/uume unyofolewe roho isalimike uingie katika uzima

Nina nguvu nyingi ni mwendo wa kupiga hatrick tu.
Haya Chris 14
Lkn si ufahari....
Mwanaume Kazi na zaidi kukaa kwenye Kusudi la Mungu na mwisho wa siku unamaliza maisha yako kwa furaha na amani.
 
Haya Chris 14
Lkn si ufahari....
Mwanaume Kazi na zaidi kukaa kwenye Kusudi la Mungu na mwisho wa siku unamaliza maisha yako kwa furaha na amani.
Ndoa bila tendo la ndoa si ndoa. Kusudi mojawapo la muumba ni kazaliana na kuongezeka.
 
Tatizo linakuja unaweza ukakinyofoa hicho kiungo na ukaendelea kuwaza ngono vilevile na mwisho wa siku ukakosa vyote, uzima wa milele na ngono pia. Mbinguni pagumu mzeebaba
 
Wewe una matatizo si bure. Uko shallow sana kimaandiko na pia kimwili utakuwa na walakini.
Yakufaa nini wewe kuupata ulimwengu wote na ukipendacho alafu mwisho wa siku unaipoteza nafsi yako...
Kama unaakili utanielewa lkn km ni mjanja mjanja wa mjini lazma utaniona shallow.
 
Tembea kwenye mahospitali uone watu wenye matatizo ya uke au uume wanavyopata mateso...

Kama umepewa vizima, vitumie epasavyo...

Cc: mahondaw
 
Yakufaa nini wewe kuupata ulimwengu wote na ukipendacho alafu mwisho wa siku unaipoteza nafsi yako...
Kama unaakili utanielewa lkn km ni mjanja mjanja wa mjini lazma utaniona shallow.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Siwezi kumwelewa mtu mwenye walakini.
 
Tembea kwenye mahospitali uone watu wenye matatizo ya uke au uume wanavyopata mateso...

Kama umepewa vizima, vitumie epasavyo...

Cc: mahondaw
Ungewauliza kilichowapelekea kukaa hapo wodini nini!!!!
Kisha jibu utakalolipata uchanganye na haya mawazo yako naam...utapata jibu.
Mshahara wa dhambi huzaa laana mwishowe ni Mauti.
 
Basi mkono wako au mguu wako ukikukosesha, ukate ukautupe mbali, ni afadhali kuingia katika uzima hali umepungukiwa mkono au miguu miwili kuliko kuwa na mikono miwili au miguu miwili nakutupwa katika moto wa milele.

Na jicho lako likikukosea, ling'oe, ukalitupe mbali nawe, ni afadhali kuingia katika uzima una (chongo) kuliko kuwa na macho mawili nakutupwa katika Jehanam ya moto.

Intermission.
Watu wanaamka asubuhi wanawaza ngono, mwanafunzi upo darasani hapo unawaza gono, kijana upo chuoni tena class, lakini unawaza ni saa ngapi utoke ukafanye mapenzi.

Upo ofisini now unawaza namna utakavyofanya mapenzi na mfanyakazi mwenzako uliyemsotea yapata mwezi wa nne huu, angalia yule baba (anautupa) sasa hivi na ana mke wa ndoa.

Kuna hawa wanapiga punyeto mda huu yani ni shida, taabu, mahangaiko mateso yote ni ili mtu (autupe) tu afurahi.

Hichi kiungo kimechafua hali ya hewa kwa asilimia kubwa kwakweli kwa nionavyo mimi ni bora andiko hili litimie (Math 18:8)kwa kunyofoa pawe kabisa ndiyo unashanga nini sasa?

Kama ni mwanaume kata tupia hata mtoni, kwanini kikuharibie bwana yes! Na kama ni mwanamke kanyofoe tupia hata mbwa, potelea mbali ni bora tu roho isalimike na mwendo tuumalize ili hali imani tumeilinda.

Nawasilisha.
Ww tayar ushanyofoa Mkuu ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom