Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,292
- 80,378
Labda kahasiwaNi kama vile ye hua hagegedi
Labda kahasiwaNi kama vile ye hua hagegedi
Asante kwa maneno mazuriIla Nachoona kweli vijana tuko na idle time sana siku hizi mijadala ya ngono ndo inayowapa mihemuko ya kuwa bize zaidi kuchangia,,yani siku hizi hakuna ubunifu tena zaid ya kukaa na smartphone na kinachotazamwa huko asilimia kubwa sio vya kujifunza.'Mambo ya Simu ya kiganjani'
Umekurupuka...ungekuwa muelewa ungenielewa...vijana wa leo na kizazi cha leo kimechoka mifano rahisi ndio maana nimetumia mifano migumu...ungetumia uelewa huo huo kujua namaanisha nini badala yakunihukumu..Mimi ni mpitaji tu huku lakini nitachangia kidogo tu kwenye mada
Kimsingi mleta mada kwenye uelewa wake amefikiri mpk ihesabike mtu amezini ni mpk tendo lifanyike ndio maana akafikia hitimisho anyofoe viungo tajwa lakini angezama zaidi angegundua sio kunyofoa hivyo pekee bali pia macho na hata ubongo wake maana huko pote panahusika maana huko ndio tatizo lilipo kwa mujibu wa aya hii
MT. :5:28
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Nb: anaposema moyoni haimaanishi moyo huu wa kusukuma damu ila mahali ambapo mtu hufanya maamuzi yake (ubongo wa mbele)
Asante. .
Lkn yote kwa yote safisha ufahamu wako kisha install vitu vipya vyenye kukunufaisha na vyakumpa Mungu utukufu...yaani Mgegedo uwe ni sehemu flani tu ya ndoa katika kiasi.
Mkuu umenena vyema kabisa tatizo linabaki kwako kama hicho kitendea kazi bado unang'ang'ania kuwa nacho.
Toa mfano ulio rahisi kwa kunyofoa ama kukikata kisha onesha mfano kwa kutupia walau kapicha kadogo kamoja tu.[/QU
Bora viungo hivyo vingekuwa kama charger za simu mumeo au mkeo akitoka kila mtu anachomoa anaweka mkirudi kila mtu anachomeka chake ingependeza zaidi!
Wewe ndio umekurupuka sasa maana hicho usemacho wewe sio mfano ngumu hata kidogo maana uelewa huo wa tendo mpk lifanyike ndio mtu ahesabu kuwa ni kosa ni kitu ambacho wengi walikuwa Wakifahamu hivyo lkn habari ya kumtazama mwanamke tu ukamtamani tayari umeshazini pasi na kushiriki tendo lenyewe ndio kitu kigumu sasaUmekurupuka...ungekuwa muelewa ungenielewa...vijana wa leo na kizazi cha leo kimechoka mifano rahisi ndio maana nimetumia mifano migumu...ungetumia uelewa huo huo kujua namaanisha nini badala yakunihukumu..
Tatizo la kuzoea kunyonya kila siku ndio kupelekea tafsiri hii yako.
Sawa umeshinda lkn umenielewa.Wewe ndio umekurupuka sasa maana hicho usemacho wewe sio mfano ngumu hata kidogo maana uelewa huo wa tendo mpk lifanyike ndio mtu ahesabu kuwa ni kosa ni kitu ambacho wengi walikuwa Wakifahamu hivyo lkn habari ya kumtazama mwanamke tu ukamtamani tayari umeshazini pasi na kushiriki tendo lenyewe ndio kitu kigumu sasa
Maana hapo ndipo mtu anahitaji nguvu ya ziada kushinda hilo lakn mtu kujizuia ngono mbona inawezekana lkn mawazo ya ngono hii ndio shida
Kwa hiyo kwa mujibu wa maandiko ngono haihesabiki unapotenda ila tangu unapowaza elewa sio ukremu
Nenda kalitangue andiko basi...au utunyambulie hayo maandiko Yesu alimaanisha nini katika mbadala.Kufanya mapenzi ni kufanyaje? Kuna kufanya ngono kwa wasio na ndoa na kuna kufanya tendo la ndoa kwa wenye ndoa.
Kuna haja gani ya kujikata viungo vya mwili wakati kwa Mungu kiendacho ni nafsi na sio mwili?.
Ukiona mtu ana kataza jambo Fulani kuwa mwenzie asifanye ujue yeye anajua utamu wake hataki mwenzie ashiriki. [emoji4] [emoji1]Nyofoa kwanza chako
Dini fumbo la imani.Nenda kalitangue andiko basi...au utunyambulie hayo maandiko Yesu alimaanisha nini katika mbadala.
Kweli kabisa aonyeshe mfano.Nyofoa kwanza chako
[emoji1] [emoji1] [emoji1]sasa mbona kama kufuru ii...kwan Mungu alipoweka alikuwa ajui anaweka kwa matumizi gan mpaka wewe uje ukinyofoe??