Duuu magaidi kama huyu hapa chiniMzuka wanajamvi.
Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.
Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.
Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.
Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.
Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.
JESUS HELP US
Kwani wapagani ndio wana matendo mabaya??Kwahyo kuna wapagani wao show show si ndio hvyo eeeh
We jamaa hujisomi, kwan nimesema nitakueletea mambo ambayo yapo nje ya historia??Historia inaishi na kuishia miaka baada ya miaka, wewe wa wapi haujui tamaduni za kwenu?
Ila Wana possibility kubwa ya kufanya..Kwani wapagani ndio wana matendo mabaya??
Ushoga = ni mtu anapelekewa moto kivyake tena kwa utashi wake(kama yule askari wa Zenji)Ushoga au Ugaidi
Historia ya Babu wa Mababu zako kabla ya Mababu waliowazaa Mababu zao inasema wao walikua wanamuabudu Yesu km Mungu wao au walikua wanaabudu miungo yao kwenye maeneo tofauti inayosemekana ni ya uongo (wazungu waliwaaminisha) ?We jamaa hujisomi, kwan nimesema nitakueletea mambo ambayo yapo nje ya historia??
Kwa maneno yako hapo bora ushoga si ndiooo eeeh 😂😂😂😂Ushoga = ni mtu anapelekewa moto kivyake tena kwa utashi wake(kama yule askari wa Zenji)
Ugaidi = ni mtu añakuwa amevurugwa na stress zake za imani anatoka atokako anakuja anavamia, kuua na kuangamiza watu wasiohusika na hizo stress zake.
Sasa hapo 'kupanga ni kuchagua'.
Sio kweli, ni wangapi hii nchi hawana dini??Ila Wana possibility kubwa ya kufanya..
Nakazia Bora Ugaidi kuliko Ushoga, Ugaidi ni Unyama ila Ushoga ni Unyama poli.Mzuka wanajamvi.
Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.
Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.
Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.
Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.
Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.
JESUS HELP US
Wee hapo unachagua nini mkuuUkitaka kuprove mleta mada yupo sahihi, Mwanaume ebu jiulize tu incase umewekwa mtu kati Upigwe pipe na uishi ukipigwa pipe au upigwe Shaba ufe mara moja utachagua nini?
Me nipigwe shaba tu nife Bablai kuliko kutumikia Rungu ni fedheha sanaaaa, we unachagua pipe kaka?Wee hapo unachagua nini mkuu
Oky..Me nipigwe shaba tu nife Bablai kuliko kutumikia Rungu ni fedheha sanaaaa, we unachagua pipe kaka?
Ndo maana nasema bora ugaidi kuliko ushoga, better ufe na malinda yako kuliko kuishi ukiwa umetoboka.Oky..
Sasa kak ni kitu gani wewe waki compare na kupigwa pipe. Kwako itakua kheri kupigwa pipe...?
Mkaldayo ushavuta ndumu, hakuna bora hapoMzuka wanajamvi.
Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.
Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.
Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.
Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.
Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.
JESUS HELP US
Kinachokera ni hawa viongozi wa dini afrika kusema papa amenukuliwa vibayaBora kuokoka kuliko ushoga na ugaidi