Uzi tayariMzuka wanajamvi.
Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.
Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.
Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.
Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.
Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.
JESUS HELP US
Ushoga au UgaidiBora kuokoka kuliko ushoga na ugaidi
Yaan umesema Bora upigwe Beto na kusindikizwa na risasi kadhaa za kichwa km alivyopigwa G Mollel au sio? Kwa hio unapromote 9/11 au sio au October 7?Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga.
Yaan vyote ovyo sio tamaduni za Mwafrika waafrika walikua wanaishi na kuishia vizuri mpaka wazungu walipokuja kuwavuruga na kuwavurugia tamaduni zao za asili kwa kuwapa nguo na vioo vya kujitazamia na kuangamia kwenye biashara utumwa Bahari ya Antaktikia, wakawaambia waache kuabudu miungu wao kwenye mibuyu na miti mikubwa ya asili na mabwawa na maeneo yote ya kutambikia wakawapa Mungu wanaomjua wao wamuabudu, waafrika hawakujua ugaidi na ushoga kabla ya wazungu ingawa Vita za makabila zilikuepo tangu kitambo hichoUshoga au Ugaidi
Aiseee ni tatizo.Mzuka wanajamvi.
Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.
Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.
Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.
Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.
Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.
JESUS HELP US
Duuuh globalization mkuu.,,Yaan vyote ovyo sio tamaduni za Mwafrika waafrika walikua wanaishi na kuishia vizuri mpaka wazungu walipokuja kuwavuruga na kuwavurugia tamaduni zao za asili kwa kuwapa nguo na vioo vya kujitazamia na kuangamia kwenye biashara utumwa Bahari ya Antaktikia, wakawaambia waache kuabudu miungu wao kwenye mibuyu na miti mikubwa ya asili na mabwawa na maeneo yote ya kutambikia wakawapa Mungu wanaomjua wao wamuabudu, waafrika hawakujua ugaidi na ushoga kabla ya wazungu ingawa Vita za makabila zilikuepo tangu kitambo hicho
Acha ujinga uovu hauna mbadala kwa uovu mwingine.Mzuka wanajamvi.
Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.
Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.
Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.
Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.
Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.
JESUS HELP US
Na kama sio muslim ambaye umesoma dini uwezi kujua haya.Na ukifuatilia makundi ya kigaidi yanayojinasibisha na Uislamu ,hakuna msimi wa uhakika wala kiongozi wa dini wa wa uhakika ambaye anayasapoti kwanza wako kinyume na Uislamu na hata ukiwa muislamu kama hauwasapoti wewe ni Kafiri utachinjwa na kuuwawa hata ukiwa msikitini..
Duuh hii kweli mkuu !!?Maghayo ukristo ulikwepo afrika kabla ya ukoloni, wamisionari walisaidia kufikisha injili sehemu ambazo injili haikuwepo but usiseme africa nzima walikuwa hawamjui yesu, huo utakuwa ni uongo mkubwa sana.
Yes, do you need proof??Duuh hii kweli mkuu !!?
Ndio mkuu.. nijue chimbuko lake lilikua vipi huku africaYes, do you need proof??