Bora tuachane, nasema sio ridhiki yangu

Bora tuachane, nasema sio ridhiki yangu

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
-Kunikosea unikosee wewe, msamaha niombe mimi
- Kupiga simu nipige mimi muda kidogo unakata.
- Kupewa unyumba unipangie wewe, nalala njaa huku gunia za mchele zimejaa mtaaani.
-Nisipo kutafuta hunitafuti, ukinitafuta unaomba hela tu.
- Mwanamke kiburi kimekujaa mpaka kwenye kucha.
-Kila ukipata hela unawaza kununua nguo tu, umejaza ndani mabegi ya nguo utadhani roboti za mitumba ya makoroboi.

Nasema bora tuachane
 
-Kunikosea unikosee wewe...... Msamaha niombe mm
- kupiga simu Nipige mm muda kidogo unakata.
- kupewa unyumba unipangie wewe,,, nalala njaa Huku gunia za Mchele zimejaa mtaaani.
-Nisipo kutafuta hunitafuti, ukinitafuta unaomba hela tu.
- Mwanamke kiburi kimekujaa mpaka kwenye kucha.
-kila ukipata hela unawaza kununua nguo tu, umejaza ndani mabegi yanguo utadhani roboti za mitumba ya makoroboi....
Nasema BORA TUACHANE.........
Msg sent hapo mwanza
 
Huyo sio mwanamke ni Pepo wa mauti
 
Kaka naona kama unatoa wimbo hivi?

Kama yamekukuta pole sana
 
Mlikutana vipi?
Ni nini kilikuvutia kwake?
Uchumba mlikaa muda gani?

Inawezekana mlikutana disco
Kilichokuvutia ni msambwanda
Uchumba mmekaa miezi mitatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom