Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Siku hizi wanawake wanaringa
Kwakweli ulipotea...Npo mkuu baada likizo fupi ya
Easter nmerud tena
Kila mnyonge na mnyonge wake, ata huyo ke anaeringa kuna mtu pia anamringiaSiku hizi wanawake wanaringa
Santeeeee sana mkuuuKwakweli ulipotea...
Karibu sana
Yap ndo hivyoKila mnyonge na mnyonge wake, ata huyo ke anaeringa kuna mtu pia anamringia
Maisha yanaendelea...Yap ndo hivyo
Hahah!!Aiseee unataka kukana au
Sielew
![]()
Mkuu Mwanamke haoneshi kubadilika,, unajaribu kumwelekeza kuhusu future kusave money na kuwekeza kwenye miradi haelewi kila siku I love you, na mizinga juu,, kiburi nacho hicho, looooohjh Hawa viumbe nimewanyoshea miguuuMkuu, naona umeamua kuandika mistari eehhhhh
Badilika yao ni wakishakuwa singo mother ..ndio wanapunguzaga hizo tabia zao..Mkuu Mwanamke haoneshi kubadilika,, unajaribu kumwelekeza kuhusu future kusave money na kuwekeza kwenye miradi haelewi kila siku I love you, na mizinga juu,, kiburi nacho hicho, looooohjh Hawa viumbe nimewanyoshea miguuu
Nmeshatema mzee.. Nimaintain usingle mwaka mmoja tu ninauhakika nitaweza kupiga hatua kubwa Sana kimaendeleo mambo yakurudishana nyuma yamepitwa Kama bazoka natemaBadilika yao ni wakishakuwa singo mother ..ndio wanapunguzaga hizo tabia zao..
Kiufup huyo habadiliki leo wala kesho... mteme mapema atakuletea hasara.
Tayariiiii mama baada ya Kukaa na kamati yangu ya ubongo wa mbele Kati na nyuma,,, wajumbe wote wakaafikiana kuchukua maamuzi ya kutoa talaka bila panadol.Kama wewe kidume mwambie mwenyewe
Haa haa hz chenga chengaHahah!!
Vipi kwanza mitaa yako huko mvua inakuhusu?


Kuna jamaa yang n mjeda lknKama wewe kidume mwambie mwenyewe
Hahah!! Eti chenga chenga...Haa haa hz chenga chenga
Kama disco lshaingia tope
Aiseee mitaa yng huku n jua tu
Mwendo wa kuswet
Sema kaskazn mahome naskia inapga
kupga
Haa haa haa hatimae finallyHahah!! Eti chenga chenga...
Mtoto yuko poa mzee katulia tu hana noma wala nini...
Jua kali tena mkuu au upo Oman nini?
Shunie njoo huku unasalimiwa