Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,227
- 22,841
Habari wanajamvi
Kampeni/matamasha yanaendelea
watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa kwa makusudi au anajifanyisha kama ilivyokawaida nitaeleza. Raisi SAMIA anadharau michango ya wana chadema kupitia tonetone kwa sababu amevimbiwa na pesa za magabachori, yeye haamini kwenye kuchangishana kidogo kidogo kana kwamba hata wale wakina mama wanaochangishana kwenye VICOBA pia wanafanya jambo geni kwake. tumkumbushe bibi Samia kwamba CHRURU SI NDONDO na HABA NA HABA HUJAZA KIBABA.
Kuna tofauti gani kati ya TONE TONE na michango ya kawaida ya wananchi huko vijijni wanaochangia maendeleo yao? Nionavyo mie raisi hajaelewa watu wakisema TONE TONE Wanamaanisha nini haswa ANAKURUPUKA kama alivyokurupuka bwana MAKALA pale aliposema Inaenda kununulia MPOX na EBOLA bila kuhojiwa popote
mimi ni mchangiaji wa TONETONE namwambia SAMIA
Tone tone ni Bora kuliko pesa za MAGABACHORI kina Rostam ambao juzi tu walikuwa LUPANGO na leo ni wachangiaji wa ccm
Wameinunua ikulu kwa michango yao. siku wakitaka kununua mlima kilimanjaro utawakatalia?