Bora sisi watanzania tunakosoa kupiitia mitandao na mikutano ya waandishi wa habari, nchi nyingine watu wanaingia mabarabarani kuandamana

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Kauli ile ya kipumbavu huwezi kutegemea kama ingeweza kutolewa na MTU kama Dr Slaa.
Kama kulikuwa na Uzi umeshikilia heshima yake iliyokuwa imebaki basi ndio umekatika na sasa hana tofauti na taka zingine kama Waitara, Mtatiro nk
 
Huyu mzee kwa sasa ni wa kumpuuza tu kama wengine walioko katika chama cha kijani.
 
Back
Top Bottom