Bora punda afe...

Ghost Worker

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
1,412
1,862
1471197250441.jpg
 
Jamani hii mbona hatari?? Mwanaume haharishiiii nadhani aliachiwa mtoto na mkewe akakurupushwa na ule mlio wa bunduki ya kuanzisha mbio hiyo. Dah! Masifa haya yatatuua. Je aliipewa bendera ya nchi kuibeba??
 
Mambo ya kuzibuliwa choo usikute hapo hajui kama kimba limetoka
 
Hahahahahahhaaaaa kwanza nicheke nazidi kunenepa looh hahahahahahahhaaaaaaaa

Jamani jamani msifanye mchezo na tumbo la kuhara. .... yaani linaunguruma ile ukisema ni gesi tuu niiachie ipite halafu nibane uharo weeeh umekwishaa hahahahahahhaaaa
Utajistukia tayari yashatoka hahahahahahahahahahaaaa.

Huyo jamaa amefedheheka sana, ila pamoja na kuwa tumbo lilimsumbua atakuwa alijiambia hata kuwa wa kwanza wala wa mwisho kujiharishia. Anaonekana ana wivu na uchu wa ushindi au mafanikio na akaona akiacha mbio ajisitiri basi ndo mwisho wake. Pengine ndo chance yake kushiriki Olympics. ...


Ila kwa jicho lingine huyu jamaa hiyo ni strategy ya kuwa wanaokimbia nae wasimsogelee wakisikia harufu warudi nyumba kiasi cha kutosikia harufu ya uharo. Hahahahahha si mnajua wenzetu wanavyoogopa kuambukizwa.... tizama watu wa pembeni wanavyomtizama kwa woga na kinyaa.

Pole kwake na hongera kwake ila looh hahahahhahah naendelea kucheka.
 
kwa mbio wanazo kimbiaga wale jamaa kama haujazoea unaweza kufia njiani.
au ukifika tu unakufa hapo hapo.
tena ni bora hata huyo ambaye alijititia.
 
Back
Top Bottom