Bora niseme tu ...

Bora niseme tu ...

Weka picha tukusaidie

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mama mmoja kakosea namba na kutuma sms ya matusi kwangu. Mi kwa ustaarabu nikampigia na kumweleza kwamba kakosea. Kwa hasira akaniporomoshea matusi eti mi niko na huyo jamaa yake na ndo kanipa sms nisome. Mi nikamwomba anitajie namba ya huyo mtu alotaka kumtumia .... kunitajia kumbe alikosea namba moja tu.
Mi nikachukua jukumu la kumpigia huyo bwana na kumweleza kwamba dem wake kanitusi kwa bahati mbaya.

Baada ya kama wiki hivi; huyo mama kanipigia na kuniomba samahani na kutaka kunifahamu .... Je! nimruhusu au nimpotezee?

kukufahamu tu?

mwambie aangalie m-pesa au tigo pesa!

otherwise mtatengeneza mahusiano ya kugegedana!

women can kill again can build..
 
We tutor wa academic inst gani? Ebu soma signature yangu hapo chini
 
Tena umenikumbusha namwambia mume wangu tena naongeza kuwa umesema hutoacha kunisumbua.
Kibali cha mguu wa kuku kinakaribia kutoka we haya tu. Bazazi mkubwa.

Mi mtoto wa mwanamke mwenzio ujue.
 
Mama mmoja kakosea namba na kutuma sms ya matusi kwangu. Mi kwa ustaarabu nikampigia na kumweleza kwamba kakosea. Kwa hasira akaniporomoshea matusi eti mi niko na huyo jamaa yake na ndo kanipa sms nisome. Mi nikamwomba anitajie namba ya huyo mtu alotaka kumtumia .... kunitajia kumbe alikosea namba moja tu.
Mi nikachukua jukumu la kumpigia huyo bwana na kumweleza kwamba dem wake kanitusi kwa bahati mbaya.

Baada ya kama wiki hivi; huyo mama kanipigia na kuniomba samahani na kutaka kunifahamu .... Je! nimruhusu au nimpotezee?

Wewe ni ke au me
 
Akifumwa atafanywaje?weka picha mtaalam wangu

whip_it_good__by_dhim-d5obxr4.gif
steamroller-crush-smiley-emoticon.gif
 
Yawezekana ni njama zake na huyo bwana, mjini kuna mambo siku hizi... usipoangalia waweza kupotea bila nduguzo kujua uko wapi...

hUU NDO WASIWASI MKUBWA NILIO NAO..... NAMPOTEZEA
 
Nashukuru mkuu; ila huyo dem ananisumbua mara kwa mara kwa sms na kunipigia

kwahiyo ni wrong number mnayokaa nayo mji mmoja????

shauri yako mjini hapa , utakujapigwa tukio uione chungu ya dunia........

we endekeza ngono zembe tu...........
 
Mkuu Tutor B don't go aisee, tunaweza kukumis hapa jukwaani forever or for a while

Siendi ng'oo na simu zake sipokei tena. Nawashukuru mlonishauri vyema; japo nilitaka niende nimuone ila nihakikishe yeye hajaniona.
 
kwahiyo ni wrong number mnayokaa nayo mji mmoja????

shauri yako mjini hapa , utakujapigwa tukio uione chungu ya dunia........

we endekeza ngono zembe tu...........

nimekupata kiongozi
 
Mama mmoja kakosea namba na kutuma sms ya matusi kwangu. Mi kwa ustaarabu nikampigia na kumweleza kwamba kakosea. Kwa hasira akaniporomoshea matusi eti mi niko na huyo jamaa yake na ndo kanipa sms nisome. Mi nikamwomba anitajie namba ya huyo mtu alotaka kumtumia .... kunitajia kumbe alikosea namba moja tu.
Mi nikachukua jukumu la kumpigia huyo bwana na kumweleza kwamba dem wake kanitusi kwa bahati mbaya.

Baada ya kama wiki hivi; huyo mama kanipigia na kuniomba samahani na kutaka kunifahamu .... Je! nimruhusu au nimpotezee?


Mfahamiane ili iweje? keshakuomba msamaha inatosha au na wewe umeshamtamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom