bora nini hapa.???

Du bora single lkn at the end ukiwa single utakua chapa ilale kwahyo unaweza ukakamata ngoma!
 
aaaaaaaah bana ndoa tamu bana si unaona kanyonyoka kidogo...
 
Angebaki single hadi uzee angenyonyoka anyways! Bora kunyonyoka kidogo huku unafurahia maisha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…