Bora nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili

You are very right,sio kila mwanamke anafaa kuwa mama wala mke, wengine wanatakiwa kubaki vipozeo tu
Narudia tena ni heri nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili maana mwanangu atateseka sana atakua na mama mpumbavu na hii itampelekea na yeye pia kua mpumbavu

Wanawake wasio na akili ndio hua wanawapandikiza chuki watoto juu ya baba zao, matokeo yake unakuta mtoto anakuchukia baba bila sababu ya msingi

Mwanamke asie na akili hawezi kumlea mtoto kwenye njia imasayo maana mda mwingi atautumia kwenye mambo yake. ya kipumbavu
 
1. Watoto wa mitaani.

2. Single mamaz

3. Utoaji wa mimba

Haya yote yanachangiwa na wanaume 80% .

Ukiwa bega kwa bega na mkeo /mpenzi wako ,haya Ni ngumu kutokea. Najua hapa nimegusa betri mabaharia wote MNIWIERADHI

Marianah njoo unilinde mpenzi.
 
Narudia tena ni heri nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili maana mwanangu atateseka sana atakua na mama mpumbavu na hii itampelekea na yeye pia kua mpumbavu

Wanawake wasio na akili ndio hua wanawapandikiza chuki watoto juu ya baba zao, matokeo yake unakuta mtoto anakuchukia baba bila sababu ya msingi

Mwanamke asie na akili hawezi kumlea mtoto kwenye njia imasayo maana mda mwingi atautumia kwenye mambo yake. ya kipumbavu
Mzazi wako wa kike yupo kwenye kundi lipi ?
 
Kichaa nipo. Tufanye kitu basi
Mimi ni bora nizae na mwanaume asie na akili kuliko kubaki bila mtoto, sisi ndio wanawake bwanaa wala hakuna anaetuelewa naweza kukuvutia saaaaana kwa tabia yangu na ukanioa ila mwisho wa siku utabaki mdomo wazi ukijiukiza ndo huyuuu au nimebadilishiwa, we muombe Mungu tuu unaeona ana akili awe nazo kweli..mana hata wasomi mnaowataka wanaishia kuwaachia watoto madada majumbani akili zake zote zipo ofisini..Poleni wanaume.
 
Back
Top Bottom