Bora nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,045
4,608
Narudia tena ni heri nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili maana mwanangu atateseka sana atakua na mama mpumbavu na hii itampelekea na yeye pia kua mpumbavu

Wanawake wasio na akili ndio hua wanawapandikiza chuki watoto juu ya baba zao, matokeo yake unakuta mtoto anakuchukia baba bila sababu ya msingi

Mwanamke asie na akili hawezi kumlea mtoto kwenye njia imasayo maana mda mwingi atautumia kwenye mambo yake. ya kipumbavu
 
Kuna vitu umechanganya, huyo mwanamke ana tabia mbaya tu, anaweza akawa na akili. Mara nyingi kipimo cha haraka cha akili ni ufaulu wa darasani au maisha. Anaweza akawa amefaulu kwa level ya PhD au akawa ana utajiri wa kutosha lakini akawa ana tabia mbaya. Tabia hizo mara nyingi na si mara zote wanawake wanazirithi kutoka kwa mama zao, jinsi alivyoona baba yake anatendewa, basi kuna uwezekano na wewe akakuzingua. Hivyo, usikurupuke kuoa, fanya study kidogo utajua mbivu na mbichi.
 
Narudia tena ni heri nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili maana mwanangu atateseka sana atakua na mama mpumbavu na hii itampelekea na yeye pia kua mpumbavu

Wanawake wasio na akili ndio hua wanawapandikiza chuki watoto juu ya baba zao, matokeo yake unakuta mtoto anakuchukia baba bila sababu ya msingi

Mwanamke asie na akili hawezi kumlea mtoto kwenye njia imasayo maana mda mwingi atautumia kwenye mambo yake. ya kipumbavu
Waswahili wanasema ndege wafananao huruka pamoja. Wasiwasi wako nini?
 
Kuna vitu umechanganya, huyo mwanamke ana tabia mbaya tu, anaweza akawa na akili. Mara nyingi kipimo cha haraka cha akili ni ufaulu wa darasana au maisha. Anaweza akawa amefaulu kwa level ya PhD au akawa ana utajiri wa kutosha lakini akawa ana tabia mbaya. Tabia hizo mara nyingi na si mara zote wanawake wanazirithi kutoka kwa mama zao, jinsi alivyoona baba yake anatendewa, basi kuna uwezekano na wewe akakuzingua. Hivyo, usikurupuke kuoa, fanya study kidogo utajua mbivu na mbichi.
sijazungumzia utajiri na umaskini au akili ya darasani nazungumzia uwezo wake wa kuchambua mambo
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom