Bora nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili

Mimi ni bora nizae na mwanaume asie na akili kuliko kubaki bila mtoto, sisi ndio wanawake bwanaa wala hakuna anaetuelewa naweza kukuvutia saaaaana kwa tabia yangu na ukanioa ila mwisho wa siku utabaki mdomo wazi ukijiukiza ndo huyuuu au nimebadilishiwa, we muombe Mungu tuu unaeona ana akili awe nazo kweli..mana hata wasomi mnaowataka wanaishia kuwaachia watoto madada majumbani akili zake zote zipo ofisini..Poleni wanaume.
 
Kumbe huwa mnaamua tu kutuigizia
 
Yaani niwe na akili halafu nimvulie chupi huyo? Akili zangu zitakuwa hazijanisaidia.
Huyo labda akili zangu ziishe ndio naweza kuzaa nae.
Kwa hilo jibu tu umejidhihirisha huna akili koo tiketi ya kuzaa na Mimi ushakosa
 
Unamaanusha asili ya darasani au akili ya mtaani??
Narudia tena ni heri nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili maana mwanangu atateseka sana atakua na mama mpumbavu na hii itampelekea na yeye pia kua mpumbavu

Wanawake wasio na akili ndio hua wanawapandikiza chuki watoto juu ya baba zao, matokeo yake unakuta mtoto anakuchukia baba bila sababu ya msingi

Mwanamke asie na akili hawezi kumlea mtoto kwenye njia imasayo maana mda mwingi atautumia kwenye mambo yake. ya kipumbavu
 
kila mtu ni mpumbavu kwa mwenzake ila tunavumiliana tu na ktk hii dunia akunaga mtu mkamilifu asilimia zote

#mapenzi ni kujua mapungufu ya mwenzio na kujifunza kuishi nayo 👣straight Up
Kwakua we mpumbavu basi unahisi wote wapumbavu kama wewe
 
Kila mtu kwa asili huwa hana akili hasa ukipatia kulegeza nati moja, hata angekuwa profesa utagundua kuwa hana akili. Take care in life!
 
Back
Top Bottom