Bora ndoa au jela?

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Annivesary-
Mke aliamka saa nane za usiku kakuta mumewe hayuko kitandani,akamkuta yuko sebuleni akiwa na mawazo tele;
MKE: Jamani vipi tena usiku huu?
MUME: Unakumbuka siku baba yako alipogundua una mimba yangu nakunilazimisha
nikuoe au la atanifunga miaka kumi?
MKE: He kumbe ndio unalokumbuka?
MUME: (huku machozi
yakidondoka) Kama ningekukataa leo ningekuwa huru natoka jela..#kama marudio samahani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom