bora kupendwa kuliko kupenda!

bora kupendwa kuliko kupenda!

ukipenda kibajaj utajuta
kutwa kucha kiko mitaani.

Tatizo wakati mwingine moyo huangukia ambapo akili inasita sasa hapo ndio kunakuwa na hatari ya kuangukia kibajaji.
 
Kupendwa na usiyempenda nayo ni mateso matupu. Bora kupendana, ingawa ni nadra sana.
 
Back
Top Bottom