julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Imemtokea mshikaji wangu wa ng'ambo anajishughulisha na mambo ya DINI alipofika hapa nchini alishobokewa karibia na kila mtoto wa kila mchungaji aliyempokea katika maeneo mbali mbali hapa Dar! Lakini alijaribu kuvishinda vishawishi kadri alivyo weza, Siku moja alienda kuhubiri na alipokuwa akihubiri alivutiwa na mdada mmoja na kuonyesha imani yake aliwafuata wazee wa kanisa na kuwajuza! Nao kwa kuona kilichoitwa kinyongo walivutia pande zao kuwa unaonaje ukioa binti yangu, karibia kila alie mweleza alionekana kupiga pande kwake.
Nilikua nikicheka sana pale alipo nieleza kwa kuwa si mtu wa imani yangu na alisisitiza kuoa kiimani zaidi namunukuu"JUU U KNOW IF A WOMAN CHANGE HER FAITH FOR MARRIAGE GOD IS NOT WITH HER" {Juu =Julius anavyo tamka} Kimtindo nilimuacha kumshawishi kuoa mtu nje ya imani yake na aliwapuza wachungaji kwa kuwa walionekana kuingia mgogoro wenyewe kwa wenyewe kupigia pande watoto wao, alimchumbia mtoto wa kilokole aliyedai kuwa hajamjua bwana toka kuzaliwa kwake!
Mtoto hakuwa wa mchungaji ila ni muumini wa kawaida, umri wake ni kati ya 30-34 hivi japo mwanaume ni 50 jamaa si handsome ni wa kawaida kama mtu yeyote aliye pembeni yako hapo ila sema tu ni wa nje ya bara letu upande wa Magharibi, Siku anaoa alitumia milioni 34 kugharamia harusi yao, alikaa honeymoon wiki moja lakini mzozo ulianza siku ya kwanza ya mapumziko baada ya kufunga ndoa, mtoto alidai ni bikra jamaa akakuta watu walisha pita! wazee wakaitwa kilichofungwa na Mungu hakitatenganishwa na mwanadamu ndizo kauli zilitawala mtoto akatubu kudanganya maisha yakaanza. Kumbuka jamaa hana ndugu ila sisi marafiki ukweni kihere here walijitia kuwa wao ndio ndugu walijazana kwa jamaa akawa kama kaoa ukoo mzima kumbe ng'mbo bwana mama mkwe na baba mkwe ni watu wakawaida waweza watusi kama wamekuudhi!
Mwanamke alikuwa kama mtu aliye toka kwenye maisha ya taabu kapelekwa kwenye maisha ya kifahari! alijitia kujua kila kitu, hakutoa nafasi kwa mumewe kuongea na mtu bila yeye, jamaa zetu tunawajua kwa mapenzi wanavyo jali alifuata kila kitu cha mkewe haya hapa yamemkuta:-
1. Aliuziwa kiwanja feki na kikapimwa kwa kupiga hatua za miguu na si vipimo vya urefu(ikapotea 20,000,000)
2.Akafungua pharmacy bila leseni kwa madai hapa bongo hawafatilii (16,000,000+pango 400,000x12)muda mfupi ikafungwa na serikali fedha ya pango haikurudishwa dawa akauza kwa wafanya biashara kwa hasara alipata 2,500,000 tu nyingine sound!
3.Akaomba mkopo benki ili aendeshe biashara za nguo na computer toka ng'ambo kumbe alifoji sahihi na passport ya mumewe kupata mkopo na document za nyumba waliokuwa wamepanga ilionekana ni ya kwao sasa biashara imeingiza hasara na hana hata shilingi ndio anamweka wazi mme kuwa kiwanja ametapeliwa, ana mkopo wa milioni sabini na inaonyesha mme ndio kakopa sahihi na kila kitu ni cha mme (kila kitu ni chake japo hakuhusika kwa lolote), parmacy si ya kwao.
Jamaa katimua ndugu za mwanamke hawapo na hataki kuwasikia, katukana baba,mama, na kila aina ya ndugu, wana mtoto mdogo kama kiunganishi.
Misaada kwao walisitisha baada ya yeye kuoa na ni yatima kule kwao hana ndugu alikuwa kwa kusaidiwa sasa demu anaishi kwa kukopa ndio wale jamaa alikuwa nanatangaza dini na kutoa misaada sasa mambo ndio basi hapa kwangu ndio chake kituo cha ushauri nami naona labda wadau mnaona nimshauri vipi anampenda mtoto kuliko unavyojipenda wewe unayesoma habari hii hataki kumuacha na ni mdogo halali mbali na mtoto wake! mke tumefanya uchunguzi wa kutosha hakuiba mali wala kuficha ulimbukeni na matumizi mabaya ya fedha ndio yamemfikisha hapo, mtaani watu wanamdai vi elfu thelathini thelathini ni vya kufikia kama madeni kifupi hana cha kulipia mwenye nyumba katoa mwezi mmoja nyumba yake wawe wamehama na dio dhamana ya mkopo ujue kila mtu kachanganyikiwa hapa mwenyewe japo wazazi wangu wa kiimani wamenikataza kujihusisha kwa kuwa sijaoa nisije shindwa kuoa jamaa sijamwambia hilo kwani mimi ndio brain na dereva wa mawazo yake hapa nchini. NIMUSAIDIEJE?