mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,669
- 45,399
Umekuwa adimu sana Sakayo, au ndio ubize?Sijambo mimi
Umekuwa adimu sana Sakayo, au ndio ubize?Sijambo mimi
Kufanyaje??Tukifanya hivi tunakosea
Aiseeenasikia samantha washaingia africa
Kuwapenda wananzengo kuliko MunguKufanyaje??
Ndiyoo...Kuwapenda wananzengo kuliko Mungu
Si ndio nilikuwa nakuunga mkono kwamba tusiwapende zaidi wananzengo kuliko tunavopaswa kumpenda MunguNdiyoo...
Ow,wow[emoji4]Si ndio nilikuwa nakuunga mkono kwamba tusiwapende zaidi wananzengo kuliko tunavopaswa kumpenda Mungu
Nipo nakutafuta ka hela akiUmekuwa adimu sana Sakayo, au ndio ubize?
HahahaaaaNipo nakutafuta ka hela aki
Aki mpaka jana nimeweka tangazo kabisaaaHahahaaaa
Mimi nakusaka kama madini aki vile!