Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
We unasubiri kupendwa kabla ya kujipenda mwenyewe..!?Hahahhaa
Natamani nipendwe
Vipi kwa upande wako ?
We unasubiri kupendwa kabla ya kujipenda mwenyewe..!?Hahahhaa
Natamani nipendwe
Vipi kwa upande wako ?
Jipende kwanza wewe kabla hujajitoa Kimasomaso na Kimuhemuhe chako cha Mahaba na kujibeba mzobemzobe na kuubwaga moyo wako mwaaaaaaaah chini kwa mtu mwingine kwa Mahaba shantashanta halafu huyo unayedhani anastahili kupendwa kuliko unavyojipenda anaishia kuumwagia moyo wako Tindikali mchana wa Jua kali!
Wengi tunaumizwa kwa sababu tunawapa watu wengine nafasi kuuuubwaaaaa kwenye mioyo yetu tukidhani wana miujiza na watatibu maradhi yetu ya moyo kwa Mwarobaini...Jamaa wakizingua tunaumia nusura kukata roho.JIPENDE KWANZA
Ujue wazi kujisumbua kumfurahisha mtu mwingine zaidi ya unavyojifurahisha nafsi yako ni kujikosea adabu na kujinyima kusiko na akili...Bila yeye pia unaweza kuishi,unaweza kuenjoy maisha,unaweza kusmile..Furaha yako haiko kwenye Remote ya Mwanaume/Mwanamke mwingine
Kutegemea mtu mwingine akupe Furaha utasubiri sana,Dunia imejaa Heart Breakers tu,wako kila kona,kila unayempa moyo ana gudulia la Tindikali, ananyunyizia tu kama anamwagilizia mbolea ya DDT kwenye Mahindi..UTALIA KILA SIKU
Kujipenda ni Rahisi sana, Jipe Raha, Ukisubiri Kupendwa dunia ya leo ni ngumu kama kumfikisha kileleni Changudoa, labda utumie mwiko...Love Yourself First, Ukipendwa iwe BONUS tu.
Pendaneni mumu, sio jipendeni au nakosea?We unasubiri kupendwa kabla ya kujipenda mwenyewe..!?
[emoji22][emoji22][emoji22]Pendaneni mumu, sio jipendeni au nakosea?
Hata wanaume wananunua dolls?Aisee,ndio maana biashara ya midoli imeshimiri siku hizi
nasikia samantha washaingia africaHata wanaume wananunua dolls?
Kwahiyo wengine utawachukia? Kupenda ni kama chafya inavyokuwaBora iwe
Tumpende Mungu,.mengine ndio yafuate.Uongo?
sema mwenyewe mumu
[emoji122][emoji122]".... Nimejifunza kupenda nijipende mimi kwanza, People come and go like a seasons, they don't need a reason, so i learn to let go, i can't regret yesterday coz tomorrow is a new day and i know......"
*FreeSoul*
Sijambo mimiUongo?
sema mwenyewe mumu
Kuna kuamini na kupenda. Binadamu tunatakiwa kupendana ila Mungu tunampenda na tunamwamini piaTumpende Mungu,.mengine ndio yafuate.
[emoji4]Kuna kuamini na kupenda. Binadamu tunatakiwa kupendana ila Mungu tunampenda na tunamwamini pia
Tukifanya hivi tunakoseaWatu tunajitia umaarufu kuwapenda wanazengo kuliko hata muumba...