STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Jipende kwanza wewe kabla hujajitoa Kimasomaso
na Kimuhemuhe chako cha Mahaba na kujibeba
mzobemzobe na kuubwaga moyo wako mwaaaaaaaah chini kwa mtu mwingine kwa Mahaba shantashanta halafu huyo unayedhani
anastahili kupendwa kuliko unavyojipenda anaishia kuumwagia moyo wako Tindikali mchana wa Jua kali!
Wengi tunaumizwa kwa sababu tunawapa watu
wengine nafasi kuuuubwaaaaa kwenye mioyo
yetu tukidhani wana miujiza na watatibu maradhi
yetu ya moyo kwa Mwarobaini...Jamaa wakizingua tunaumia nusura kukata roho.JIPENDE KWANZA
Ujue wazi kujisumbua kumfurahisha mtu mwingine
zaidi ya unavyojifurahisha nafsi yako ni kujikosea
adabu na kujinyima kusiko na akili...Bila yeye pia
unaweza kuishi, unaweza kuenjoy maisha, unaweza
kusmile..
Furaha yako haiko kwenye Remote ya Mwanaume/Mwanamke mwingine
Kutegemea mtu mwingine akupe Furaha utasubiri
sana, Dunia imejaa Heart Breakers tu, wako kila
kona, kila unayempa moyo ana gudulia la
Tindikali, ananyunyizia tu kama anamwagilizia
mbolea ya DDT kwenye Mahindi..
UTALIA KILA SIKU Kujipenda ni Rahisi sana,Jipe Raha, Ukisubiri
Kupendwa dunia ya leo ni ngumu kama
kumfikisha kileleni Changudoa wa Corner
Bar, labda utumie mwiko...Love Yourself
First, Ukipendwa iwe BONUS tu.
Kwa Hisani ya Wanaume wote Tulio Dimbwini bila Vigudulia vya Tindikali mkononi!