Maendeleo tu
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 347
- 107
Mtoa mada umetoa angalizo la msingi sana. Watanzania wengi wanapata 3rd party information kutoka cnn, aljazeera nk. Ukitaka kujua ubaya wa hivi vikundi ingia Iraq, Syria, Afghanistan na kwingine kama huko. Wamarekani wana kila aina ya nyenzo na ukachero wa juu kabisa duniani lakini wameshindwa kabisa kudhibiti hawa jamaa. Tuache ushabiki wa kitoto eti jeshi lipo imara, wakiingia hao wanaingia kila sekta mpaka ndani ya jeshi lenyewe unawakuta. Wengine wanaleta udini, wale hawana dini wala kabila, wanaua mpaka watu wa dini zao na ndugu wa damu