hakuna jipya chini ya jua yote hayo yalishapita katika hii dunia. tunayarudia na ukiona hivyo saa ya ukombozi inakaribia, mwenye kuamini miti, mbuzi, wanyama, biblia, na mengine mengi yote shikilia kwenye imani yako na usitetereke na vitu vya kuja vishawishi ni vingi sana siku hizi mtoto wa kiume akiwa mzuri wazazi wanaanza kuogopa maana anatazamwa na wengi wanawake na wanaume sasa hapo atafyatukaje?? tamaa ya fedha na mali zitawamaliza wengi. naamini kabisa huyo boss aliyefunga hiyo ndoa akija bongo hakuna ambae ataerusha jiwe ili ampige kwa sababu ya litabia lake zaidi mtampokea kwenye red carpet na hotel ya maana na mwisho wa siku atawaachia vidola vyake huku mkecheka cheka, SIMAMA HAPO HAPO KWENYE IMANI YAKO NA MAONI YAKO USIKUBALI KUYUMBISHWA KWA SABABU YA PESA AU RANGI ZAO MTAANGAMIA WOTE NA HAWA JAMAA HAKIKA WANATUMIA KILA AINA YA PESA MCHEZO HUU UENEE DUNIANI KOTE.