Baada ya DP World kukamatia usukani Dar Port, Wakenya washikwa na kiwewe. Wajipanga kuchimba na kuongeza kina cha bandari ya Mombasa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,112
49,826
Mawimbi ya kishindo Cha DP World yamepelekea kiwewe Kwa mshindani Wetu Bandari ya Mombasa ambapo Sasa Wanahaha kutafuta mkandarasi aanze kuchimba na kuongeza kina Cha Bandari Yao ili meli kubwa zaidi ziweze kutia nanga.

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1716439339884839310?t=QsvhL0G2kUSkNVaTfuDn0w&s=19

My Take
Hii ni rasha rasha tuu,El Nino Bado.

Kamatia hapo hapo na kanyaga twende DP World

View: https://www.instagram.com/p/CyyUFPUIYQB/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Naona ushindani inazidi kuwa mkali.Wamefuta tozo

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1718918221607178552?t=gpC2PJAuhzNL-BR9Y7sJgg&s=19
 
Mawimbi ya kishindo Cha DP World yamepelekea kiwewe Kwa mshindani Wetu Bandari ya Mombasa ambapo Sasa Wanahaha kutafuta mkandarasi aanze kuchimba na kuongeza kina Cha Bandari Yao ili meli kubwa zaidi ziweze kutia nanga.

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1716439339884839310?t=QsvhL0G2kUSkNVaTfuDn0w&s=19

My Take
Hii ni rasha rasha tuu,El Nino Bado.

Kamatia hapo hapo na kanyaga twende DP World

View: https://www.instagram.com/p/CyyUFPUIYQB/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

ngoja tuwape hao dp world miaka michache tuone kama watawakalisha mombasa.
 
ngoja tuwape hao dp world miaka michache tuone kama watawakalisha mombasa.
Wakenya wanaweweseka Kwa hofu

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1718911939084952020?t=vvFILuoosLi6lJL934isUA&s=19%5B/

Tanzania%20tutawapa%20DP%20na%20Adani%20Port%20ya%20India%20Gati%20tofauti%20URL%5D
 
This time wameingia cha kike
kipindi tupo kwenye negotiation, walijifanya wanakataa uwekezaji na kuwaponda dp world ili tuwatupe huko, nadhani sisi tulistuka, sasaivi wanahaha sana, na kama hawa dp world kweli wataikweka kisasa zaidi, kuna uwezekano mkubwa kenya wakakosa mizigo mingi sana.
 
Wewe ni .pamne wa DP-WORLD hakuna mahali imetajwa huko kwenye andiko kuhusu DP-WORLD kuingia Dar Port kuwa ndio sababu ya wakenya kutaka kuongeza kina cha bandari ya Mombasa.

Pia unapaswa kutambua kwamba Kina cha Bandari ya Dar es Salaam ni jitihada za uwekezaji wa awamu ya Tano na sio DP-WORLD!
Ndio maana wananchi tunapinga mkataba mbovu wa kish*nzi.
 
kipindi tupo kwenye negotiation, walijifanya wanakataa uwekezaji na kuwaponda dp world ili tuwatupe huko, nadhani sisi tulistuka, sasaivi wanahaha sana, na kama hawa dp world kweli wataikweka kisasa zaidi, kuna uwezekano mkubwa kenya wakakosa mizigo mingi sana.
Lengo la kuwaleta DP World ni ili Kenya wakose mizigo ama kupandisha ufanisi na mapato?
 
Back
Top Bottom