hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,838 Jan 14, 2011 #2 du alifikaje fikaje? bangi hizi!
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,740 Jan 14, 2011 #3 Ni wapi hapo?, au ni pichaduka. Lakini sory naona mtandao inasumbua kwa hiyo ameamua kuufuata mawinguni.
Ni wapi hapo?, au ni pichaduka. Lakini sory naona mtandao inasumbua kwa hiyo ameamua kuufuata mawinguni.
Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 75 Jan 14, 2011 #4 Teh teh teh! Inafaa kwa tangazo la kampuni fulani ya simu.
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,303 Jan 14, 2011 #5 Mambo ya kutafuta NETWORK hayo
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,053 Reaction score 648 Jan 14, 2011 #6 Kudadadeki lazima huko kuna mgawo,ukanyage hayo mawaya peku..
D Dandaj Member Joined Apr 16, 2009 Posts 73 Reaction score 3 Jan 14, 2011 #7 Hapo anaonyesha matumizi mengine ya nguzo za umeme wakati wa mgao wa umeme. Hasa hapa bongo.
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,179 Reaction score 81 Jan 14, 2011 #8 Yaliyomo yamo.
Ameir Eshaq Member Joined Jan 3, 2011 Posts 35 Reaction score 1 Jan 14, 2011 Thread starter #9 huyu mjama anakakili sana.
lukenza Senior Member Joined Apr 11, 2010 Posts 120 Reaction score 8 Jan 14, 2011 #10 naamini jamaa atakua fundi wa kampuni ya simu au Kishoka