Boom kuongezeka rasmi tarehe 30/10/2018

Boom kuongezeka rasmi tarehe 30/10/2018

Izo kidogo tu za toka 7500, kaka zenu na dada zenu zimetushinda kurejesha sembuse zote hizo hata ikiwa ni kweli mzikatae sasa, maana sio ela za bibi tena.
 
Hakuna makato yanayouma kwenye mshahara kama ya HESLB.. kila la heri katika kuongezewa njuluku vijana
 
Nimeona kwenye form za udom boom ni shilling 8500/=
 
Habari bandungu ,..ningependa kujua ukweli kuhusu hili swala linalotapakaa katika magroup mbalimbali ya vyuo,, kuwa kutakuwa na ongezeko la hadi asilimia 60 ya pesa ya matumizi kwa wanachuo yaani BOOM na kufikia 15,000TZS kwa siku kuanzia mwezi huu wa kumi vyuo vikifunguliwa.
Sawa ngoja mpewe, shughuli yake mtaiona wakati wa marejesho!
 
Habari bandungu ,..ningependa kujua ukweli kuhusu hili swala linalotapakaa katika magroup mbalimbali ya vyuo,, kuwa kutakuwa na ongezeko la hadi asilimia 60 ya pesa ya matumizi kwa wanachuo yaani BOOM na kufikia 15,000TZS kwa siku kuanzia mwezi huu wa kumi vyuo vikifunguliwa.
SAHAU LABDA MKUU AACHIE NGANZI
 
Naona hapo kwenye form meal and accommodation 8500
IMG_20181002_135107.jpeg
 
Back
Top Bottom