Rashidi7
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 612
- 212
Habari bandungu ,..ningependa kujua ukweli kuhusu hili swala linalotapakaa katika magroup mbalimbali ya vyuo,, kuwa kutakuwa na ongezeko la hadi asilimia 60 ya pesa ya matumizi kwa wanachuo yaani BOOM na kufikia 15,000TZS kwa siku kuanzia mwezi huu wa kumi vyuo vikifunguliwa.