Black Tie
Member
- Dec 31, 2016
- 7
- 14
Kwa muda wa miaka 4 Booking.com imekuwa ikitoa tuzo kwa hotels zinazofanya vizuri kuwahudumia wageni wao. Tuzo za mwaka huu zimetolewa January 17,2017, ambapo zinaenda kwa kigezo cha properties zilizo na overall rating kuanzia 8 na kupanda. Na angalau property iwe na reviews kuanzia 10 zinazotoka kwa wageni waliobook kupitia Booking.com.
Wageni wanafanya bookings kwa ajili ya memorable experiences, so wakati wa utafiti wao wanapoona property imetwaa tuzo, wanaishortlist kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho baadae(reserving). Na kwa mujibu wa Booking.com, properties zilizopata tuzo karibuni zimekuwa zikipokea wageni wengi zaidi.
Kuna changamoto kidogo kwa utoaji wa hizi tuzo kwa properties nyingi za kiafrika, tofauti kama ilivyo mabara mengine. Wanasema hizi tuzo ni za nchi zote ila nimeona nyingi zimekuwa zikitolewa huko Ulaya, Marekani na Asia. Na kwa upande wa Africa nimeona ni Afrika ya Kusini na Misri, napo ni hotel chache (chains kama Fairmont).
Kwa nchi yetu naona Ramada, Mvuli Hotels, Mbalageti, Fruit &Spice, Southern Sun, The Residence na Nyumbani Hostel wana score zaidi 8.3.
Je kati ya hizi properties au nyinginezo, kuna mojawapo ilishawahi pokea tuzo za Booking.com Guest Review Awards tangu 2014 zilipoanzishwa? Guest Review Awards 2016 - Celebrating great guest experiences all around the world.