Book readers, tushirikishane App nzuri za kusomea (e-reader)

Wakuu nahitaji soft copy ya kitabu cha "The Vagina Bible"
 
tru kabisa na nishakuwa addictated yaan kusomea kwebye gadget zingine kama cm kindle fire hdx ni basi tu ila paper white.. acha ina feeling kama umeshika an actual book ...
Mkuu napenda vitabu ila sijui pa kuvipata kwa kweli ,teknolojia ni pana sana ,natumia simu naomba unipe abc niweze kusoma vitabu nami mzee
 
Kwa kuanzia download app yoyote ya E book reader.. zipo nyingi ambazo ni nzuri kama mfano kama kindle ila sababu ni newbie katika hili we tafuta kwenye app store simple ambayo itafiti reading sye yako na books organization.. unaweza ukadownload tofaut tofaut ili ujaribu ipi inakufaa

kindle iko own na Amazon, so kidogo ni complicated kwenye setup yake na hata kuingiza vitabu vyako

pia asilimia kubwa ya App za E book readers zinakujaga na some books kama vile kupromote App zao maana nyingi ziko associated na wauzaji wa Ebooks .. so kuna free books zinakuwa pre loaded kwenye App.. hii itakupa mwanga mzur wa kujaribu kuona App ipi inafaa

baada ya kuwa comfortable na App uliochagua utaniambia vitabu gan unapenda naweza nikakupatia
 
Nipe tu yoyote ya kuanzia please nianze nayo mie nimweupe sana kwa mambo hayo.
 
natumia Kindle app sababu nina kindle fire na kindle ink

na natumia calibre ku sncy vitabu vyangu kati ya kindle app na kindle devices.. na vitabu na sync na goodreaders, na bookfusion. napenda bookfussion.com zaid sababu iko straight

kindle app nzuri sema inahitaj some skills uweze kuingiza vitabu ambavyo hujanunua amazon. ndo hapo napotumia calibre software
Nipe maarifa mkuu nilikuwa naconvert kwenye format ya epub kabla ya kuweka kwenye kindle ila siku hizi imegoma
 
Back
Top Bottom