moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,944
Mkuu u ansoft copy??Hiki kitabu kina chai nyingi sana
View attachment 1721591
Kina husu nini?Hiki kitabu kina chai nyingi sana
View attachment 1721591
Hapana ninacho hardcopy tuMkuu u ansoft copy??
Ni kitabu kitakatifu cha WaMormoniKina husu nini?
Kuna ushuhuda gani mpya humo?Ni kitabu kitakatifu cha WaMormoni
Kina sura na aya kama ilivyo kwenye Biblia. Humo ndani kuna Kitabu cha Kwanza cha Nefi; Kitabu cha Pili cha Nefi; Kitabu cha Yakobo; Kitabu cha Enoshi; Kitabu cha Yaromu; Kitabu cha Omni; Maneno ya Mormoni; Kitabu cha Mosia; Kitabu cha Alma; Kitabu cha Helamani; Nefi wa Tatu; Nefi wa Nne; Kitabu cha Mormoni; Kitabu cha Etheri; na Kitabu cha Moron...Kina husu nini?
Soft copy hii hapa 👇👇Mkuu u ansoft copy??
Sukrani sanaSoft copy hii hapa [emoji116][emoji116]
Asante boss ngoja nikipitie nione yaliyo .Soft copy hii hapa [emoji116][emoji116]
Ni kweli ndugu yangu chai kavu kabisa!Hiki kitabu kina chai nyingi sana
View attachment 1721591
Hiyo ni dini kamili na hiyo ni Bible yao. Japo wanasema wao ni Wafuasi wa Kristu kwa maana ya Wakristu lakini Mainstream Chriastian wanawakana kuwa wao siyo WakristuKuna ushuhuda gani mpya humo?