CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 1,638
- 1,092
Sasa ni ukweli usiofichika kuwa mabilionea ndio wenye haki CHADEMA. Twende pamoja.
Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi benki kuu]
Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana Mbowe kurithi nafasi yake, jumba la Boniyai limefadhiliwa na Mbowe ili ionekane boniyai anazo pesa na sababu Chadema bila hela ni rahisi kununuliwa na serikali.
Mbowe hampendi kabisa Lissu ambaye ni mwanaharakati na debe tupu anayekigharimu chama sababu lisu hana pesa kabisa tofauti na boniyai anaye jituma kuuza mayai,hivyo siku chache zijazo Mbowe ataachia kiti.
Masikini lissu labda awahi kuinunua TLP ili aungane na Lema waliamshe dude,ila Boniyai ni chaguo la Mbowe sababu ana akili za ujasiriamali kuliko lissu,na lissu ameshalijua hilo hivyo 2025 atagombea ubunge apate pesa za kustaafia siasa.
Kazi kwenu chadema.