Huyu mtu kazi ipo! Sijui katokea wapi jamani anatupa tabu sana huyu! Anyang'anywe leseni yake ya kazi ...ni zaidi ya moto ...akina lissu wawe kumi ndio unampata huyu mtu ....kwenye kijani tumtoe kabudi tu
Ni mtoto wa chief na yeye mwenyewe ni Chief mtarajiwa na amepewa baraka zoteHuyu mtu kazi ipo! Sijui katokea wapi jamani anatupa tabu sana huyu! Anyang'anywe leseni yake ya kazi ...ni zaidi ya moto ...akina lissu wawe kumi ndio unampata huyu mtu ....kwenye kijani tumtoe kabudi tu
Huyu mtu kazi ipo! Sijui katokea wapi jamani anatupa tabu sana huyu! Anyang'anywe leseni yake ya kazi ...ni zaidi ya moto ...akina lissu wawe kumi ndio unampata huyu mtu ....kwenye kijani tumtoe kabudi tu
Duh..
Hata akiishia atakuwa ametengeneza Mwabukusi wengine 1000.Kulikuwa na kina Masumbuko Lamwai. Tunajua walipoishia.
Duniani hakuna jipya.
TLS v AG officeDuh..
Wanataka kumzuilia kama walivyomfanya SHANGAZI?!
Ila vijana wenye Akili za uchawa na ufisadi ka wako, wali paswa wanyongwe hadharani.Kulikuwa na kina Masumbuko Lamwai. Tunajua walipoishia.
Duniani hakuna jipya.
Aliyelalamika na kupeleka tuhuma dhidi ya wakili Mwambukusi kwamba kavunja maadili ya uwakili na kutenda kosa la jinai amejidhalilisha vibaya na ataabika huko alikopeleka shitaka.
Sio kwa Tanzani hii iliyo jaa matabulalasa.Hata akiishia atakuwa ametengeneza Mwabukusi wengine 1000.