Boni mwaitege na mtazamo wake kuhusu ndoa...

Boni mwaitege na mtazamo wake kuhusu ndoa...

Kama mfumo wako ni wa wazee wa kale na hauishi kwa mfumo wa waarabu na wazungu nisawa na ninaheshimu maamuzi yako.sasa kuna wengine ambao tumeamua kuwa na dini hizo ambazo zimeenezwa na waarabu na wazungu na tunazifuata na kuamini kila kilichoandikwa ktk vitabu vitakatifu,ninaomba na wewe utuheshimu na kuacha kuingilia mambo yasiyokuhusu na usioyaishi.ninaamini hauna unachotaka kukijua juu ya mke mwema kutoka kwa Mungu zaidi ulitaka tujue kuwa unafuata mfumo wa wazee wa kale.

kwani ni dhambi kujua maandiko juu ya dini flani.? Imeandikwa wapi.? Naomba elewa hili sija tusi wa kuto hesmu juu ya mfumo flani.? Kwaio uko kwenye mfumo wenu hua mnamezeshwa bila kuuliza maswali.? Mbona mitume walikua wanamuuliza bwana yesu maswali na anawajibu.? Kwanini wewe utaki kuulizwa.?
 
Sasa kama unaishi katika imani hiyo uliyoibainisha kuwa wewe ni mfuasi kwayo, iweje uhoji mambo usiyoyaamini??

Ni sawasawa na Mtanzania kuanza kuhoji mambo ya Katiba au Sheria za Kenya ilihali yeye ni mkazi wa Tanzania na sheria hizo hazina tija kwake....

mkuu sizani kama dini unayo iamini hairuhusu mtu asiye muhusika kuijua au kuuliza maswali,hata wafungwa wahaki ya kuuliza panapo mashaka,naomba nieleweshe juu ya niulizacho tafadhari.?
 
Haamini katika Biblia wala Qur'an hivyo mtu huyu huwezi kumfundisha akakuelewa.....:bolt:

kama nisingekua sitaki kuelewa nisinge uliza mkuu,mbona hutaaki kutoa ujuacho juu ya hili.?
 
Back
Top Bottom