Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,361
- 176,181
😳😳😳😳😳Kuweni waakweli tu
Na kuja ila Niko p, ili nijue kabisa kuwa leo ni charity tu😂
Charity!!! Kwani kuna biashara mlikuwa mnafanya?
😳😳😳😳😳Kuweni waakweli tu
Na kuja ila Niko p, ili nijue kabisa kuwa leo ni charity tu😂
😅😳😳😳😳😳
Charity!!! Kwani kuna biashara mlikuwa mnafanya?
Hatukwenda dina ili nimle, alipanga nimle siku hiyo kabla ya mimi kutaka twende dina.Nafikili mwana ndio unazingua, Mbunyanga ipo tu ,sipendi kumtoa demu out ili nimle hasa siku za mwanzo
Pole sana mkuu.Mkuu ni sehemu ya starehe tu, pia shepu yake ilinifanya nipambane ili nile vizuri. Kumbe looo
Pamoja sana 👍Pole sana mkuu.
Ziiiiiiiiii.Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.
Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…
Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma.![]()





Pole. Pangeni siku nyingineTulikubaliana na tarehe akapanga yeye ili tuzindue, kwa nini anitapeli sasa![]()
Ewaaaani swala la kujiongeza tu....

Asante sana 😓Pole. Pangeni siku nyingine
nimeropoka tu 😅
Mwanaume hasusi we vipi bwanaAsante sana
Nimemsusia, sitaki tena![]()
Msameheni tu😂
Nitakuchapanimeropoka tu![]()
Mbona unajitetea wewnimeropoka tu 😅
dunia inaenda kasi shangazi, hizi ndo fasheni 😅Nitakuchapa
NikumbusheUnakumbuka