Bongo tuna kuzika mapemaaa

Kweli ila mi najichanga nikachukue hii[emoji116][emoji116]

Tunaita nusu kuzimu nusu peponi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
+1
muda pekee unaijua kuwa upo speed kwenye hizo gari ni pale unapoona kicheche na kushindwa kusimama
niilipitia scrap yards wakati fulani , nikagundua gari nyingi expensive ajali zake mara nyingi gari inakuwa written off, Haifai kabisa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magari siku hizi yametengenezwa kisasa gia ziko kimpangilio kwahiyo ikiwa kwenye mwendo ukiingiza gia ya reverse haikubali.Ata auto yako ambayo ikiwa kwenye mwendo ukajisahau ukishift gear selector kwenye R bila kukanyaga break haiingii.
Naona gia ya Reverse imekaa kihasara. Fikiria ukikosea toka namba 7 hadi reverse!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapo gia ningeishia 4 nikijitahidi 5..
Speed mwisho ni 90..

Hio gali hainifai maana ina mambo mengi nisiyoyatumia kabisa.. speed ya 400 wakati hata robo yake sijawahi kufika.
Usilinganishe na bajajji yako uliyoizoea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…