Bongo tuna kuzika mapemaaa

Hiyo chombo kwa barabara gani bongo hii mpwa,,
 
wale wazee wa league road na alteza zao,usiwasikilize ukiwa na hii gari,wakikupita wapuuze tu maana,

kwanza ubaya hizi gari za bei mbaya,speed huioni ukiwa ndani,gari haichezi wala kuvuma kama simu ina vibrate.kwahiyo unaweza ona uko kawaida tu kuumbeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€... hata wao nahisi watajishtukia kukujaribu
 
Kama umeshawahi kuendesha Mercedes Benz manual. Reverse gear huwa haingii moja kwa moja km za mjapan. Lazima gear lever either uinyanjue juu au idumbukize chini

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata hiyo ya mjapan huwezi kuwa mwendo halafu gia ya reverse ikubali, ukiwa mwendo mkali tu upo namba 5 ujaribu kurudi 3 inakugomea sembuse reverse.
 
Tajiri la ufipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…