Bongo star search 2015

Mazingaombwe yashaanza
 
Hawa majaji wamekuja na majina yao mfukoni. Honnestly, jack kaimba vyema kuliko Angel kwa usiku wa leo

Nashangaa wao walikuwa wanamshangilia wakati alikuwa hata hasikiki anaimba nini.
 
Nabet final ni Kayumba vs Mary
au Kayumba vs Fenabo...
No way...
Kayumba hawezi kosa final.
 
Hawa majaji wamekuja na majina yao mfukoni. Honnestly, jack kaimba vyema kuliko Angel kwa usiku wa leo

Nashangaa wao walikuwa wanamshangilia wakati alikuwa hata hasikiki anaimba nini.

huyo Kelvin sioni anachokiimba
 
Hahahahahaaa wachepukaji mpooo?Kazi kwenu.
 
Msechu huwa ana mambo mengi hadi anaharibu..Huo wimbo wake mzuri ila ye anazingua..
 
Mimi Peter ananikera sana anavyojiachia,kitambi kama kiroba bwana!!!!
 
Naona Msechu kaamua kutugongelea kwa vese
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…