Bongo star search 2015

Ni sa ngap?? Mnijuzee maana nimekodoa mimacho hapa mpaka inaanza kulegea!!!
 
Leo si ndo fainal sa wanaonyesha sa ngap?? Nijuzeni bathii wakuu humu! Kaboom ukuje hapa unijuzee mkuu!!
 
Star TV waongo kama ccm yao walisema wataonyesha kuanzia saa 9:30ila mpaka nw bado wanaonyesha ma liveshow ya kizungu

Hata clouds nayo maongo kama li ccm lao,kote wametuwekea live shows zilizopendwaga....
ITV pekee ndio TV station ya ukweli nchi hii.
 
Leo si ndo fainal sa wanaonyesha sa ngap?? Nijuzeni bathii wakuu humu! Kaboom ukuje hapa unijuzee mkuu!!

Kwa mujibu wa wajumbe show ishaanza mkuu..cheki star tv au clouds tv
 
Kayumba Juma....nitafurahije jamani?
Mungu akusaidie kijana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…