Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Heaven Sent halafu mbona sielewi..Nimeona sehemu Frida na Angel wana namba moja ya kupigiwa kura..Hili sio bao la mkono kweli??..Kama kigezo ni kura za wananchi..Hawa watu(angel+frida) obvious watakuwa na kura nyingi zaidi..Hii sijui imekaaje
Weee daddy umeona wapi hiyo kitu aisee? Ndo walovyomaanisha kuwa watashare kiti ama? Obvious muunganiko wao utawapa kura nyingi. But nahisi judges watakuwa na means yao ya kujudge kura zao
Teh tutafanya maandamano ya kifamiliaYani hasiposhinda ntaandamana mistari kumi peke yangu mpaka kwenye ofisi zao
Yani nimeingia huku nashangaa kimya. Nikiripoti live kutoka king Solomon hahhaha. Nipo tu home banaDouta na we upo king Solomon nn??
Bado hawajaanzaTeh teh..Washaanza kuonyesha??
Walisema star tv but hawajaanza kurusha livewanaonyesha chaneli ipi mbona mimi sioni jameni ?
Walisema star tv but hawajaanza kurusha live
Teh utaniona kwenye white carpet. Nimevaa chanikiwiti na udhurungiSawa ripota wetu..Ngoja tusubiri
Star tv wameweka tangazo wataonesha muda sio mrefu,pia clouds walitangaza kuonesha.
Mmh bora na clouds waoneshe, star tv kwenye mambo ya live wanazinguaga. Sijui labda kama wameimprove sasa hiviStar tv wameweka tangazo wataonesha muda sio mrefu,pia clouds walitangaza kuonesha.
Hahhah watu wanataka ku-break the red carpetTeh teh..Kuna mmoja amechomekea koti aisee..Nimemuona red carpet