Kati ya mashindano ambayo wanapoteza muda na resource ni hili....ni bora ile pesa wanayowekeza pale wangetumia kuibua biashara nyingine...wengi wa hawa washindi wanavuta bangi vijiweni.....kuanzia na Jumanne..!!
Leah Muddy anendesha bendi inaitwa Q Band, Msechu kazi zake zinaonekana, na hata Baby Madaha keshafanya shughuli nyingi za kisanii. Ukiamua kufanya utafiti badala ya umbeya utakuta asilimia kubwa wako kwenye sanaa kwa namna moja au nyingine.

Sasa haya mambo ya umbeya yanatoka wapi wakati mimi nimeuliza swali ili nijue kwa sasa wako wapi na kipi wanafanya, huo utafiti unafanywa vipi bila kuuliza, kama nilivyofanya?,,

Lbda tatizo ni vipaji vinavyotafutwa! Kujua kuimba na ktunga nyimbo ni vitu tofauti! Mtu kama Pascal alikuwa muimba kwaya hivyo kuimba na kupangilia sauti haikuwa kazi ngumu ila sasa linapokuja swala la kutunga nyimbo bnafsi ndo wengi wamefeli! Labda mwanzo mwisho wengeshindania utunzi wa nyimbo zao ila kupata mshindi sitahiki.......