Salamander ni kweli kabisaIngekuwa Iringa wote wangekuwa vitoweo
Hahahaaahahaaaa hapo sio Dar, huyo mbuzi angesha nyongwa na kuliwa kwenye vilabu vya mataputapu
mkuu we unapajua dar au unapasikia!! kuna mbuzi wako kama 8 hiv na wanazidi kuzaliana, wanazungukaga kila cku maeneo ya magomeni hadi kinondon, wanasadikika ni watu waliwaibia wapemba wakageuzwa mbuzi, na hakuna anaethubutu kumchinja wala kufuga, wanazurura tuu mtaani, walikuaga 4, mara mwisho kuwaona walkua 8 , sa sijui wamefka wangap mpaka sasa. so inaweza ikawa ni mmoja wao huyo