Bongo Record Vs Mj-Record:Kati ya P-Funk Majani na Master Jay nani alitengeneza ngoma kali zaidi?

Wote Mj & Majani ni MaProducer Wakali, Ila P Funk Majani ni habari nyingine

Juma Nature - Mugambo
Fid Q Ft. TID, Langa & Black Rhyno - Chagua Moja
TID - Zeze
Juma Nature - Inauma Sana
Juma Nature - Sitaki Demu
Soggy Dog Ft. Mandojo - Story
Dully Sykes - Handsome
Dully Sykes - Bijou
Dolo Ft Juma Nature -Radhia
Daz Baba - Umbo Namba Nane
Zay B - Gado
Afande Sele, Professor Jay & Solo Thang - Mtazamo
Mandojo & Domokaya - Wanock Nock
TMK Wanaume - Kamua
TMK Wanaume - Ndio Zetu
TMK Wanaume - Nyumbani ni Nyumbani
Mh Temba Ft Dully Sykes - Nampenda yeye
TID Ft. Jay Mo - Girlfriend
Jay Mo Ft. Q Chillah - Kama Unataka Demu
Ferooz - Safari
Nako2Nako - Hawatuwezi
Chid Benz Ft. Maunda Zoro - Umenisoma
Mr 2 Ft. Stara Thomas - Wananiita Sugu
Juma Nature - Dance With Me
Jay Mo - Mvua na Jua
Jay Mo - Cheza Kwa Step
Ferooz Ft. Jay Mo - Jirushe RMX
Daz Baba Ft. Magwea - WIFE
 
Gwair_Napokea simu ft Dully
Kibanda cha simu
Mikasi
Mstari wa mbele
Ye ndo yeye
Majani ni kiboko anapiga midundo hiyoo
Mj alijitahidi kupiga mdundo ile ngoma "inawezekana" lakini hamna kitu tambo tu.
 
P-funk majani..baba lao..alinipigia starehe ya ferooz hatari sana ....Master J hamna kitu, dharau nyingi na ujuaji hata mziki hajui...ila kanitolea dogo anaitwa Daxo chali, yupo poa dogo..alinipigia kidebe ya dogo njanja nikamuelewa
Lakini si nasikia MJ ndiye aliyemfundisha kazi Majani?
 
Album ya MANDOJO NA DOMOKAYA-NIKUPE ilirekodiwa BONGO RECS na Khalfan Majani.... haichoshi kusikiliza inaishi masikioni.
Kiufupi Ngoma kali nyingi za kitambo ni zao la Bongo Recs.
 
Majani
View attachment 1001059

View attachment 1001062n



===

Master J - Mj Records.
1. Nakupenda tu - konki
2. Sintobadilika - Mike T
3. T shirt na Jeans - university corner
4. Tanga Kunani - wagosi wa kaya
5. Sifai - Q Jay
6. Ingewezekana - D knob
7. Kariakoo - dully sykes
8. Niite basi - joseline
9. Mi msai - mr ebo
10. Huyu na Yule - Fid Q
11. Bab kubwa - planet 2000
12. Demu wangu - Ngwea na mchizi mox.
13. Nakuhusudu - Mr paul
14. Tulia - Mh temba ft Ray c

P funk - Bongo Records.
1. Gheto langu - Ngweah
2. Piga makofi - prof jay
3. Sitaki demu - Juma Nature
4. Kibanda cha simu - Sogy Dogy
5. Mwanza Mwanza - fid Q
6. Usinichukie - Afande Sele
7. Bosi - Ferooz
8. Imekaa Vibaya - Kali P
9. Ya leo Kali - Wachuja Nafaka.
10. Nipe tano - Daz Nundaz
11. Hakuna Kulala - nature
12. Dj - Sister P
13. Nakupenda - Mike T ft Nature
14. Nikupe nini - Mandojo na Domokaya

Hizi ni baadhi ya nyimbo kutoka kwa Mj chino ya mj records na Majani chini ya Bongo Records
 
Lakini si nasikia MJ ndiye aliyemfundisha kazi Majani?
Aliekwambia na ukasikia alikubugisha..P funck ndo aliomfundisha Master j kupiga kick na seats mbali mbali labda mellods baada ya p kupewa vyombo vya kurekodia mziki na wazazi wake uko ughaibini
Na p alishadhibitisha kuwa baadhi ya not,beat na kiki alikuwa ananunua on line( kipindi hicho maproducer wengi walikuwa hawajui kutumia computer katika music production) na kuchanganya na za kwake ili midundo isiendane na za maproducer wenzake.
So all in all Master J kazalishwa na God father Paul Khalphan Majani.
 
Hivi nyie mnamjua professor Ludigo ??!! Pale Bongo records?? Kwa habari yenu ndo aliyeproduce Mikasi ya marehem mangwea ingawa p aliweka mkono wake kwenye beats
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom