Bongo na Utandawazi

Bongo na Utandawazi

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,347
Kwa staili hii tutafika jamani? Hii ni fashion, utandawazi au ndio usharubaro wa kike?

attachment.php
 
Attachments

  • Sharobaro wa Kike.jpg
    Sharobaro wa Kike.jpg
    41.6 KB · Views: 558
Hii picha ilikuwepo hapa kama wiki 2 zilizopita,biashara matangazo hapo wapenda mgongo atawapata sana tu lol!
 
naona kachaniwa :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Nafikiri title ya thread iwe hivi: "Bongo na utandauchi"
 
Kichefuchefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
kwa walaji mishikaki bureeee hama kweli siku zinasogea
hivi kama anawazazi na wanaona hivo kwa mwana wao inakuwaje jamani maadili kushney
Conquest-We inherite nothing from them but we take as life style
 
Du! wandugu tukiwezeshwa kwenye hili sakata la kukaa uchi au kwenye mambo ya ujasiriamali? Ee Mola wetu, tutie nguvu.
 
Beijin Imefanya Kazi!, na inafanya kazi ila wachache sana wanafaidi!
 
uliyosema ni kweli...

kwa walaji mishikaki bureeee hama kweli siku zinasogea
hivi kama anawazazi na wanaona hivo kwa mwana wao inakuwaje jamani maadili kushney
Conquest-We inherite nothing from them but we take as life style
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom