Bongo na majina ya mitaa!

Bongo na majina ya mitaa!

Typhoid

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
243
Reaction score
100
Wanajf mie huwa nashindwa majina ya mitaa hii ya bongo yana maana gani? Ulaya utakuta jina lina la mtaa lina maana kubwa sana ila huku kwetu baadhi sijui kabisa.
Mfano.
1. Kwanyamafi- upo musoma
2. Mtokenge- upo mwanza
3.mtimanyongo-upo mbagala Dar
 
Mtaa wa Ngoto-MORO
MTAA WA KINGO-MORO
NG'AMBU YA MSINGI-M0RO
MTAA WA MCHANGANI-MWANANYAMALA
MTAA WA MADUKA MA3
 
Mto wa mbu (AR). Lkn mkuu hujakosea jukwaa la kupost huu uzi?
 
[QUOTE unit;3422080]Mto wa mbu (AR). Lkn mkuu hujakosea jukwaa la kupost huu uzi?[/QUOTE]

hata mie naona hivo, niupeleke wapi?
 
1.Kwa mkunduge-----
2.Uwanja wa fisi
3.Kwa bi nyau
4.Kokoto
5.Kwa mfuga mbwa
6.Ukwamani
7.Kwa Tumbo
 
mchamba wima - zenji
mstari wa haja - zenji
kibarasketi pande - zenji
 
Back
Top Bottom