Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Hili ni bonge la kazi, hii filamu imeakisi kabisa maisha halisi ya watanzania, imechezwa na wasanii wa muziki akiwemo fid q, salu T, one the incredible, wakazi, songa, lamar na wengine wengi, ipo youtube kaitazame nina uhakika hautajutia mbs zakoView attachment 739652
Halafu ya kitambo kidogo nadhani 2015 sijui 16Bonge ya movie hiko na story nzuri mpaka najiuliza kwanini walichelewa kuitoa
Nimeona mahali wanasema ni ya 2014 mkuuHalafu ya kitambo kidogo nadhani 2015 sijui 16
Inawezekana kabisa, sina uhakika kama waliingiza sokoni kwenye dvdNimeona mahali wanasema ni ya 2014 mkuu
Sizani mkuu maana nimekuja kuona juzi ndo wanaipa promo sanaInawezekana kabisa, sina uhakika kama waliingiza sokoni kwenye dvd
Ha ha ha ha jamaa wamejitaidi sana kugusia maisha ya vijana wanao hustle kimtaa mtaaIlikuwa chimbo bado, hii ina prove kuwa kazi bora za sanaa ya sinema zinaandaliwa muda mrefu sana. Sasa bongo movie wao wiki mbili mzgo sokoni
Kumbe na huku kuna migrant, wa bongo flava wanakimbilia bongo movie, wa bongo movie wanakimbilia bongo flava, full exchange
Mbona ameachia mzinga wa dude lipo kwenye chart ya juu kwenye radio station kibao huko kwaoMkuu Ice cube kasahau kabisa Rap kisa Movie za Hol wood
Mbona ameachia mzinga wa dude lipo kwenye chart ya juu kwenye radio station kibao huko kwao
Nadhani director ndo alilenga hivyo, hebu kaimalize mpaka mwisho then utaleta mrejeshoKitu nilichokiona mwanzo kama error ni hapa mahali One ameenda ufukweni akakuta madogo wana Rap, ameingia kwenye mzunguko aka Rap ila I wonder kwanin ametumia ujuzi wake wa rap hapa yaani nikimaanisha kuwa why one kaonekana aki rap kama nguli yaani yule real One Incredible ninaemjua kama rapper?, labda wamelenga jambo (anyway bado sijaimaliza angalia)
Pia nimewaza why katumia mashahiri ya kitamaduni na jina lile lile la One analotumia kwenye mziki wa kawaida bado nawaza je hii ni error au ndivyo stori ilivyo? Remind you huku kwenye movie anatumia jina fulani gumu gumu nimesikia akilitamka mwanzo akishuka treni (kama nipo sahihi)
Pia nimeahangaa hawa madogo wanao rap hapa ufukweni wame react kama vile wanamfahamu One kama One msanii, kivipi? Baada ya One kuna dogo kaanza ku rap kwenye mashahiri yake amemsifia One kama One alisia na si One kwenye movie, sijaimaliza nimeishia apa wakuu sihui ata walipomaliza ku rap imeendeleaje ila bado na hapa najiuliza ni error au ni nini?
Ngoja niendelee kuiangalia baadae nikiwa nimetulia huwenda nkapata majibu ya maswali yangu yote
Aliyeangalia yote anaweza nijuza apa pia wakuu au nyie mnaonaje hayo mambo?
Tunakosoa kujenga tu waungwana.
Nadhani director ndo alilenga hivyo, hebu kaimalize mpaka mwisho then utaleta mrejesho
Ngoja niichekBonge ya movie aisee haina tofauti na Nairobi half life
Icheki hutojutia bundle yakoNgoja niichek