Bongo na flava ni bonge la movie na pia ni funzo kwa bongo movies

Kwani hii imeshatoka official? Naona ni bonge la movie yani sipingani na mleta uzi nimeangalia sijajutia mbs zangu wadau wamejua nini wanafanya na wameigiza uhalisia hawajaigiza maigizo..

Makosa ni ngumu kuyaepuka ila sio mengi kama moviez za wakali wa hii tasnia hapa nnchini. Big up sana kwa hawa wadau na washiriki wa hii kitu

Pia nawaza kama ni official released vipi kuhusu lugha kali zilizo tumika mule kama vile Mseng☆, Nyeg*, qutomb@?
 
Pale one alipokuwa ananawa maji mara anatokea yule demu akasema siku nyingine ukiwa una nyege utajitomba mwenyew
 
movie iko vizuri sema haifai kuangalia na watoto au familia kuna scene kama mbili tatu hivi kuna mitusi ya hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom