Bongo na flava ni bonge la movie na pia ni funzo kwa bongo movies

Duke Tachez

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
5,441
4,093
Hili ni bonge la kazi, hii filamu imeakisi kabisa maisha halisi ya watanzania, imechezwa na wasanii wa muziki akiwemo fid q, salu T, one the incredible, wakazi, songa, lamar na wengine wengi, ipo youtube kaitazame nina uhakika hautajutia mbs zako
IMG_20180409_202657_313.JPG
 
Kumbe na huku kuna migrant, wa bongo flava wanakimbilia bongo movie, wa bongo movie wanakimbilia bongo flava, full exchange
 
Kitu nilichokiona mwanzo kama error ni hapa mahali One ameenda ufukweni akakuta madogo wana Rap, ameingia kwenye mzunguko aka Rap ila I wonder kwanin ametumia ujuzi wake wa rap hapa yaani nikimaanisha kuwa why one kaonekana aki rap kama nguli yaani yule real One Incredible ninaemjua kama rapper?, labda wamelenga jambo (anyway bado sijaimaliza angalia)

Pia nimewaza why katumia mashahiri ya kitamaduni na jina lile lile la One analotumia kwenye mziki wa kawaida bado nawaza je hii ni error au ndivyo stori ilivyo? Remind you huku kwenye movie anatumia jina fulani gumu gumu nimesikia akilitamka mwanzo akishuka treni (kama nipo sahihi)

Pia nimeahangaa hawa madogo wanao rap hapa ufukweni wame react kama vile wanamfahamu One kama One msanii, kivipi? Baada ya One kuna dogo kaanza ku rap kwenye mashahiri yake amemsifia One kama One alisia na si One kwenye movie, sijaimaliza nimeishia apa wakuu sihui ata walipomaliza ku rap imeendeleaje ila bado na hapa najiuliza ni error au ni nini?

Ngoja niendelee kuiangalia baadae nikiwa nimetulia huwenda nkapata majibu ya maswali yangu yote

Aliyeangalia yote anaweza nijuza apa pia wakuu au nyie mnaonaje hayo mambo?

Tunakosoa kujenga tu waungwana.
 
Nadhani director ndo alilenga hivyo, hebu kaimalize mpaka mwisho then utaleta mrejesho
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom