Bongo na flava ni bonge la movie na pia ni funzo kwa bongo movies

Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,759
Likes
1,913
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,759 1,913 280
Hili ni bonge la kazi, hii filamu imeakisi kabisa maisha halisi ya watanzania, imechezwa na wasanii wa muziki akiwemo fid q, salu T, one the incredible, wakazi, songa, lamar na wengine wengi, ipo youtube kaitazame nina uhakika hautajutia mbs zako
img_20180409_202657_313-jpg.739652
 
Mo-Reece

Mo-Reece

Senior Member
Joined
Feb 10, 2013
Messages
183
Likes
204
Points
60
Mo-Reece

Mo-Reece

Senior Member
Joined Feb 10, 2013
183 204 60
Hili ni bonge la kazi, hii filamu imeakisi kabisa maisha halisi ya watanzania, imechezwa na wasanii wa muziki akiwemo fid q, salu T, one the incredible, wakazi, songa, lamar na wengine wengi, ipo youtube kaitazame nina uhakika hautajutia mbs zako View attachment 739652
Bonge ya movie hiko na story nzuri mpaka najiuliza kwanini walichelewa kuitoa
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,387
Likes
2,388
Points
280
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,387 2,388 280
Ilikuwa chimbo bado, hii ina prove kuwa kazi bora za sanaa ya sinema zinaandaliwa muda mrefu sana. Sasa bongo movie wao wiki mbili mzgo sokoni
 
Mo-Reece

Mo-Reece

Senior Member
Joined
Feb 10, 2013
Messages
183
Likes
204
Points
60
Mo-Reece

Mo-Reece

Senior Member
Joined Feb 10, 2013
183 204 60
Ilikuwa chimbo bado, hii ina prove kuwa kazi bora za sanaa ya sinema zinaandaliwa muda mrefu sana. Sasa bongo movie wao wiki mbili mzgo sokoni
Ha ha ha ha jamaa wamejitaidi sana kugusia maisha ya vijana wanao hustle kimtaa mtaa
 
sab

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
5,032
Likes
3,235
Points
280
sab

sab

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
5,032 3,235 280
Kumbe na huku kuna migrant, wa bongo flava wanakimbilia bongo movie, wa bongo movie wanakimbilia bongo flava, full exchange
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,387
Likes
2,388
Points
280
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,387 2,388 280
Kumbe na huku kuna migrant, wa bongo flava wanakimbilia bongo movie, wa bongo movie wanakimbilia bongo flava, full exchange
Mkuu Ice cube kasahau kabisa Rap kisa Movie za Hol wood
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,387
Likes
2,388
Points
280
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,387 2,388 280
Kitu nilichokiona mwanzo kama error ni hapa mahali One ameenda ufukweni akakuta madogo wana Rap, ameingia kwenye mzunguko aka Rap ila I wonder kwanin ametumia ujuzi wake wa rap hapa yaani nikimaanisha kuwa why one kaonekana aki rap kama nguli yaani yule real One Incredible ninaemjua kama rapper?, labda wamelenga jambo (anyway bado sijaimaliza angalia)

Pia nimewaza why katumia mashahiri ya kitamaduni na jina lile lile la One analotumia kwenye mziki wa kawaida bado nawaza je hii ni error au ndivyo stori ilivyo? Remind you huku kwenye movie anatumia jina fulani gumu gumu nimesikia akilitamka mwanzo akishuka treni (kama nipo sahihi)

Pia nimeahangaa hawa madogo wanao rap hapa ufukweni wame react kama vile wanamfahamu One kama One msanii, kivipi? Baada ya One kuna dogo kaanza ku rap kwenye mashahiri yake amemsifia One kama One alisia na si One kwenye movie, sijaimaliza nimeishia apa wakuu sihui ata walipomaliza ku rap imeendeleaje ila bado na hapa najiuliza ni error au ni nini?

Ngoja niendelee kuiangalia baadae nikiwa nimetulia huwenda nkapata majibu ya maswali yangu yote

Aliyeangalia yote anaweza nijuza apa pia wakuu au nyie mnaonaje hayo mambo?

Tunakosoa kujenga tu waungwana.
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,387
Likes
2,388
Points
280
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,387 2,388 280
Mbona ameachia mzinga wa dude lipo kwenye chart ya juu kwenye radio station kibao huko kwao
Angalia ni baada ya nini mkuu kama unamfuatilia vizuri yeye na 50 Cent utaelewa
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,759
Likes
1,913
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,759 1,913 280
Kitu nilichokiona mwanzo kama error ni hapa mahali One ameenda ufukweni akakuta madogo wana Rap, ameingia kwenye mzunguko aka Rap ila I wonder kwanin ametumia ujuzi wake wa rap hapa yaani nikimaanisha kuwa why one kaonekana aki rap kama nguli yaani yule real One Incredible ninaemjua kama rapper?, labda wamelenga jambo (anyway bado sijaimaliza angalia)

Pia nimewaza why katumia mashahiri ya kitamaduni na jina lile lile la One analotumia kwenye mziki wa kawaida bado nawaza je hii ni error au ndivyo stori ilivyo? Remind you huku kwenye movie anatumia jina fulani gumu gumu nimesikia akilitamka mwanzo akishuka treni (kama nipo sahihi)

Pia nimeahangaa hawa madogo wanao rap hapa ufukweni wame react kama vile wanamfahamu One kama One msanii, kivipi? Baada ya One kuna dogo kaanza ku rap kwenye mashahiri yake amemsifia One kama One alisia na si One kwenye movie, sijaimaliza nimeishia apa wakuu sihui ata walipomaliza ku rap imeendeleaje ila bado na hapa najiuliza ni error au ni nini?

Ngoja niendelee kuiangalia baadae nikiwa nimetulia huwenda nkapata majibu ya maswali yangu yote

Aliyeangalia yote anaweza nijuza apa pia wakuu au nyie mnaonaje hayo mambo?

Tunakosoa kujenga tu waungwana.
Nadhani director ndo alilenga hivyo, hebu kaimalize mpaka mwisho then utaleta mrejesho
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,387
Likes
2,388
Points
280
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,387 2,388 280
Nadhani director ndo alilenga hivyo, hebu kaimalize mpaka mwisho then utaleta mrejesho
Sawa mkuu, nikiimaliza nitakuja na mrejesho hapa hapa.
 
Forum statistics

Threads 1,252,017
Members 481,948
Posts 29,793,186